na kwako pia mkuuSalaam kwenu wote
Hujambo Laaziz wangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] Andjul tuliaHabari za siku nyingi wapenzi
Hata sijala pilau. Ni ugali na dagaa wa mwanza tuNipo Mrs Van nimejaa tele kama pishi ya mchele wa kyela. Vipi weye? pilau ya maulidi na kachumbari yake umemaliza? 😡
Hata sijala pilau. Ni ugali na dagaa wa mwanza tu
Nakulaga ila sio mpenzi[emoji28][emoji6]Poa kabisa kumbe nawe unapenda ugali eh! Hongera zako.
Nakulaga ila sio mpenzi[emoji28][emoji6]
Sio mtu wa lakezone kweli. Maana ndio wapenda nguna hao [emoji28]Mie mpenzi aisee mradi tu mboga inabamba kama vile samaki wa kukaanga, nyama choma au ya kukaanga, dagaa na mboga ya majani bila kusahau pili pili kichaa au mbuzi pembeni 😛😛😛
Sio mtu wa lakezone kweli. Maana ndio wapenda nguna hao [emoji28]