kauga JR
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 3,570
- 2,200
Unamuwekea vitu hapo mpk anaipata namba
Unamuwekea vitu hapo mpk anaipata namba
Vitu gani mkuu? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Unamuwekea vitu hapo mpk anaipata namba
Si unaona mkao wa mahaba hap kakaa uzrrrr......mkongojo hapo ndio mahala pakeVitu gani mkuu? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Andjul ukuje hukuuu wapitwa[emoji38][emoji38]Halooooo! Andjul unasalimiwa. Cc. Carba... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
YegomasikaMungu Akipenda nitafika hapa siku moja [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
![]()
Halafu nikwambie kitu mkuu? Huku huwa tunapeana likes pia. Ndiyo lengo kuu la uzi. Tunapeana burudani na kujadili mambo mbalimbali lakini pia tunakula likes....Si unaona mkao wa mahaba hap kakaa uzrrrr......mkongojo hapo ndio mahala pake
Huyu anaonekana kama Mnyakyusa kabisa. Ndo maana nimemuita japo sina uhakika akija itakuwaje. Si ajabu nikaishia kutimua mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Andjul ukuje hukuuu wapitwa[emoji38][emoji38]
Unataka kuwa popo leo??Mko wapi leo? Wikiendi hii bado mmelala? Sina mpango wa kulala leo amkeni tule likes bana aaaaaaargh!!!
Halafu waweza kuta ni mwakaleli hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu anaonekana kama Mnyakyusa kabisa. Ndo maana nimemuita japo sina uhakika akija itakuwaje. Si ajabu nikaishia kutimua mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuona ujue, Naomba ulale dadii utaumwa usingizi[emoji17]Mko wapi leo? Wikiendi hii bado mmelala? Sina mpango wa kulala leo amkeni tule likes bana aaaaaaargh!!!
Nimeshasema leo nakesha...Nilale ili iweje?Unataka kuwa popo leo??
Sijui kwa nini siwezi kulala tangu Jumanne. Misukosuko ya maisha. Nitakuwa OK wala usiwe na hofu 'Kitooo. Mi ngangari !!!Nakuona ujue, Naomba ulale dadii utaumwa usingizi[emoji17]
Subiri nimwite numbisa aje na madhara ya kukosa usingizi labda utaogopa au nimwite andjul aje kufanya fujo labda utakimbia ukalale ikishindikana naja na vibokoNimeshasema leo nakesha...Nilale ili iweje?
Aaaa wapi. Numbisa ataweka somo la usingizi sentesi moja moja ili ale likes. Itabidi nifuatilie kwa muda mrefu. Kuja kulipata somo zima kutakuwa kumeshakucha tayari. Andjul naye hana lolote huyo maneno mengi tu. Akianza migospo yake isiyo na kichwa wala miguu hata kumwelewa ni shida. Ukitaka nilale ni wewe mwenyewe njoo na hivyo "viboko" uniadhibu sawa sawa. Nitalala ka mtoto mdogo....10 hrs stereiti huku nikiugulia maumivu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Subiri nimwite numbisa aje na madhara ya kukosa usingizi labda utaogopa au nimwite andjul aje kufanya fujo labda utakimbia ukalale ikishindikana naja na viboko