Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kama ni mume wa mtu uko tayari kuniiba? Toa jibu haraka. Niko karibu na Las Vegas na ni wikiendi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wewe ni mume wa mtu[emoji125] [emoji125] [emoji100]
Halafu sijauliza swali ujue?me namchokoza tu shemeji yanguHe! Sio swali ....
NdiwoooooooooooKama ni mume wa mtu uko tayari kuniiba? Toa jibu haraka. Niko karibu na Las Vegas na ni wikiendi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bet za likes wewe unashindaga tuuu. Roho bado inaniuma kuachilia mahari kwa Andjul na Uniq. Na hiyo avatar hutaki kubadili japo imechakaa. Sibet mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ingekua poa tungekua na bet ya likes hahaha
Jiraniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!He! Sio swali ....
Jirani kaanza visa....Jiraniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!!!!
Inawezekana kweli kupata kansa kwa njia hiyo au ni conspiracies tu na kutafuta sifa?