Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ngoja basi nichangamke. Kufunga ndoa hapa Las Vegas hata dola 100 tu na unaweza kumwokota ye yote tu mnakokotana kwenda kwenye chapel. Nitaleta mrejesho ila na wewe itabidi uje uniibe kweli isije ikawa gheresha tupu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiwooooooooooo
(Hata sijui naitika nini)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una jirani mtata sana. Mkimya ila anajua kila kinachoendelea kwako. Hata ratiba yako bila shaka anaijua vyema...Jirani kaanza visa....
Nikurushie namba ya Mh. Polepole?Wadau ivi video ya CCM MBELE KWA MBELEE ishatoka?