Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ngoja basi nichangamke. Kufunga ndoa hapa Las Vegas hata dola 100 tu na unaweza kumwokota ye yote tu mnakokotana kwenda kwenye chapel. Nitaleta mrejesho ila na wewe itabidi uje uniibe kweli isije ikawa gheresha tupu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nishaanza mikakati nasubiri mrejesho tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
750bdaa38865a54bb3be396acfcf902d.jpg
 
Back
Top Bottom