myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Hilo basi linaelekea wapi? Tukuyu ama?Nipo nasafiri kwenda mkoani, abiria niliyekaa nae toka ubungo mpka hapa anakula miguu ya kuku, sasa najiuliza huyu anataka aende olympic au marathon?