Kwanini unasema hivi?Multiple ID at work
Atakula likesLeo usipokula Pilau. Usiumie sana.
Utakula tu ukijituma
Karibu na acha kulalamika pokea hiyoAlaf mbna miimi sipatag likeee...
BigBabaBabe s
Unaenda wapi!?Natoka kidogo
Naona umeanza kuelewa mchezo. KaribuHatari wakuu
Napiga likes Niko nyuma sana hila nakuja kwa speed kaliKaribu mkuu.
Tunaongozwa na rules kadha.
Ila rule muhimu zaid #1 ni
sambaza likes uendelee kupokea likes hatujari dini itikadi wala imani
HahahahhaNAOMBA LIKES 3 BARIDI NA KACHUMBALI, PILIPILI KWA MBALI NA TOOTHPIC 2 ZA MOTO
Morning mama 50KAmina.
Hahahaha hahaahahahaKwa mwendo huu namfikia the bold kwa wingi wa like
Sivyo unavyofikiriNaona umamua sasa!
GuudPoa sana
MimiMi sio mchoyo wa pesa hata Likes pia.
Nani sijampa.