God iz bae
JF-Expert Member
- Mar 19, 2017
- 527
- 1,086
Mbona unanicheka mkuu[emoji37]Hahahaha
Mbona unanicheka mkuu[emoji37]Hahahaha
Rabeka mamaho chi minh
Shwari mkuuWadau niaje humu
Umeanza kujisifu unanipa hasira nina siku nne naiwaza na nimeikosa
Kula likeRabeka mama
Nakweli ni bahatiHhahahahaha mi nilibahatika 40k ila ilikuwa shughuli kuipata nikataka nikupige bao na 50k
Mko poa sana wadau
Hata mie nimeonaHiki ndio kijiwe kinacho ua nyuzi nyingine
Hahaha mi nitawapa dawa ya usingizi woteee ikikaribia, hiyo lazima niichukue...Hahah hapo hata kwa goli la mkono
Karibu tena Heloo na pole sana, umekosa mengi ila na jua mengi mazuri yanakujaNimerudi toka selo
Naona umamua sasa!Nichek pm plz, for good