Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Magoti yanahusika sana mtu anapohitaji kusimama... Umechoka? Umeanguka na watu wana nia ushindwe na kuendelea kukaa chini??? Kuna watu hufurahia maumivu yako???? . . . . . Usikubali, usikate tamaa.. Inuka... nyanyuka hapo kwenye udhaifu wako, jiambie hautayumbishwa, tumia magoti yako (Maombi) kupata balance, uimara.... Simama, piga hatua ya kwanza. .. Tembea endelea kutembea haraka.. kimbia kabisa . . . . . utaibuka mshindi na uchovu wako wote utaisha, utasahau kwamba ulikuwa chini muda mrefu, utapata nguvu mpya!!!..... . Siku zote..... Usisahau goti lako ukihitaji kusimama (prayers) . . . . . Maombi yanafanya kazi... Jumapili njema
 
Wako ngangari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…