Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wiki iliyopita, wapenzi hao walitangaza kuwa wanatarajia kufunga ndoa Mei mwakani baada ya kumvisha pete ya uchumba ambayo waliinunua nchini Botswana walipokwenda mapumzikoni mwaka uliopita.
 
Wapenzi hao watafunga ndoa katika Kanisa la St George, Windsor Castle ambalo Prince Harry alibatizwa alipokuwa na umri wa miezi mitatu. Familia ya kifalme itagharamia kila kitu. Inaelezwa kuwa baada ya ndoa wataishi katika makazi ya Kensngton
 
Meghan alianzisha uhusiano wa kimapenzi na mtayarishaji wa filamu maarufu, Trevor Engelson mwishoni mwa mwaka 2004 na kufunga ndoa Septemba 10, 2011 nchini Jamaica, lakini wakaachana 2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…