Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Teh tehHapa Kazi tu
AMUN RA haingii hapa weweeee. Huyu ni Mungu Mkuu Muumba mbingu na nchi tunayezungumzia mkuu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️AMUN RA
Kuzaliwa kwenye ufalme raha sanaWapenzi hao watafunga ndoa katika Kanisa la St George, Windsor Castle ambalo Prince Harry alibatizwa alipokuwa na umri wa miezi mitatu. Familia ya kifalme itagharamia kila kitu. Inaelezwa kuwa baada ya ndoa wataishi katika makazi ya Kensngton
Mwakaleli unatetwa huku njoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji yule ni kivuruge kwakweli
Mambo ya migombani
Ndi mukazi wawe?
Du wabongo bhana
AminaMungu atupe afya tumalize siku zilizobaki salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Teh teh