Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-12-02-16-25-38.png
 
MFANYABIASHARA Mohammed Dewji 'MO' amefanikiwa kushinda zabuni ya kuwekeza ndani ya klabu hiyo.

Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia mchakato wa kumsaka mwekezaji wa klabu hiyo, Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu, Thomas Mihayo, alisema Dewji ametimiza vigezo na sifa zote zilizowekwa na kamati yake kwa mshindi wa nafasi hiyo.
Yap
 
Back
Top Bottom