Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nadhani TANESCO wameshafanya yao...Shemeji kalale kabla sijakusemelea
Mbona mapema hivi?halafu kwanini hawaba huruma?Nadhani TANESCO wameshafanya yao...
Waziri wa Nishati ni mshikaji wangu sana. Ngoja nimuulize aisee. Zisi izi aniekseputabo !!!Mbona mapema hivi?halafu kwanini hawaba huruma?
Muulize bhana mana si vizuri,hajui kama kazi haziendi?Waziri wa Nishati ni mshikaji wangu sana. Ngoja nimuulize aisee. Zisi izi aniekseputabo !!!
Nitafanya hivyo. Nitaleta mrejesho...Muulize bhana mana si vizuri,hajui kama kazi haziendi?
Hata mie nahisi hivyo na mbinu za mourinyo ni kupaki busHapana usi bet, utapoteza! MC ni moto! [emoji1][emoji1]
Kwema ndugu yangu? Umepotea potea sana. Majukumu yamekaba sana nini? Pambana..Hahaa, the doers don’t brag and the braggers don’t do It, baby girl! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Unabet likes ngapi?Mweee hizo dola ntaokotea wapi. Ntabet likes duh nisije anza penda bet nkaishia kwa akina tatu mzuka
Kwema ndugu yangu? Umepotea potea sana. Majukumu yamekaba sana nini? Pambana..