Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Hii kauli huwa inashtua hadi minyoo tumbon dah
Maisha yetu hapa duniani yaani hayatabiriki. Nimetoka tu nje hapa nimekuta liajali libaya barabarani gari moja imepondeka nyang'anyang'a zimamoto wanahangaika na misumeno yao kuwanasua marehemu. Hawa nao si walikuwa wanasema huu mwaka umeisha na si ajabu wametoka tu kwenda kununua chumvi hapo dukani kumbe ndiyo kwa heri. Kila siku ni kujikabidhi kwa Mungu tu hakuna jingine...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwema ndugu yangu! Kuna msemo nausikia wanasema, “Vyuma vimekaza”! Ngoja carbamazepine akiamka atupe maana yake!
Hata huko Pittsburgh vimekaza? Au kwa vile ni mwisho wa muhula?

Ni kupambana na hali zetu tu japo pia inabidi tuwe waangalifu tunapopambana na hali zetu tusitikise hali za wengine. Na mwishowe vyuma vitalegea tu. Tusikate tamaa !!!
 
Hata huko Pittsburgh vimekaza? Au kwa vile ni mwisho wa muhula?

Ni kupambana na hali zetu tu japo pia inabidi tuwe waangalifu tunapopambana na hali zetu tusitikise hali za wengine. Na mwishowe vyuma vitalegea tu. Tusikate tamaa !!!

Hahaaa, Steelers Nation kesho bana! Monday Night Football. Usikose kuwatch! [emoji1][emoji1]
 
Naomba ukalale SYB pls babe jaribu kulala
OK Babe. Naenda. Asante kwa kunikumbusha. Barikiwa sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]


[emoji117][emoji117][emoji117][emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️ [emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
 
24294240_1551278154967822_3748841923530012322_n.jpg
 
Akizungumza na gazeti hili, Waziri Ummy alisema suala la mgonjwa huyo kuhitaji uhamisho na mengine kuhusu ajira, uwezekano wa kusaidiwa upo, hivyo ameshauri afuate utaratibu.

“Kuhusu ombi la ajira, ninamshauri afuate utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma. Sababu yake ina uzito, sina shaka kuwa maombi yake yatakubaliwa,” alisema Ummy.
 
Alisema anashukuru kuona upandikizaji wa figo kwa mgonjwa huyo wa kwanza nchini umekuwa na mafanikio makubwa.

“Kilichopo sasa ni kuzidi kumuombea afya njema ili aweze kuendelea na majukumu yake ya kila siku, kwa mara nyingine nawapongeza madaktari wetu wa Muhimbili,” alisema Ummy.
 
Back
Top Bottom