Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Maisha yetu hapa duniani yaani hayatabiriki. Nimetoka tu nje hapa nimekuta liajali libaya barabarani gari moja imepondeka nyang'anyang'a zimamoto wanahangaika na misumeno yao kuwanasua marehemu. Hawa nao si walikuwa wanasema huu mwaka umeisha na si ajabu wametoka tu kwenda kununua chumvi hapo dukani kumbe ndiyo kwa heri. Kila siku ni kujikabidhi kwa Mungu tu hakuna jingine...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hii kauli huwa inashtua hadi minyoo tumbon dah
Hata huko Pittsburgh vimekaza? Au kwa vile ni mwisho wa muhula?Kwema ndugu yangu! Kuna msemo nausikia wanasema, “Vyuma vimekaza”! Ngoja carbamazepine akiamka atupe maana yake!
Hata huko Pittsburgh vimekaza? Au kwa vile ni mwisho wa muhula?
Ni kupambana na hali zetu tu japo pia inabidi tuwe waangalifu tunapopambana na hali zetu tusitikise hali za wengine. Na mwishowe vyuma vitalegea tu. Tusikate tamaa !!!
20 tu. Hii gemu sio ya kubetUnabet likes ngapi?
Maana ake pesa hamnaKwema ndugu yangu! Kuna msemo nausikia wanasema, “Vyuma vimekaza”! Ngoja carbamazepine akiamka atupe maana yake!
Hizi naziweza. I am in. Mkishinda nitakuongezea na zingine 30 ziwe 50. Mkifungwa mi nipe tu hizo 20 zinanitosha. Good luck !!!20 tu. Hii gemu sio ya kubet
Naomba ukalale SYB pls babe jaribu kulalaHizi naziweza. I am in. Mkishinda nitakuongezea na zingine 30 ziwe 50. Mkifungwa mi nipe tu hizo 20 zinanitosha. Good luck !!!
OK Babe. Naenda. Asante kwa kunikumbusha. Barikiwa sana [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Naomba ukalale SYB pls babe jaribu kulala
Kweli..
Hii kauli huwa inashtua hadi minyoo tumbon dah
Joto la jiwe..Andjuuuuuuul [emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344][emoji344]
Hahahahaa nice man city wakishinda ntakupa 70 likesHizi naziweza. I am in. Mkishinda nitakuongezea na zingine 30 ziwe 50. Mkifungwa mi nipe tu hizo 20 zinanitosha. Good luck !!!