Ni kweli mkuu, hata Mimi na wewe hakuna mwenye uhakika wa kuumaliza mwaka, lakini ukweli ni kwamba mwaka umebakisha siku chache tuBado sana. Wengi tu hawatauona mwaka mpya. Ni kuomba Mungu sana...
Salaam BhageshiGooodmornin humu!!!!!!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] unamtania jirani muungwana?[emoji3] [emoji3] subiri aje[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]