mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Poa mkuu naona mupo munaendeleza malikesNzuri mzee wa liver
Wapi kichwa kichafuNzuri mzee wa liver
Nipo kamanda wa Nansio. Kwema huko Idodomya? Au umeenda kuzihesabia Dubai?Mkuu habari za jioni
Inapopatikana nafasi tunakuwepo mkuu,Poa mkuu naona mupo munaendeleza malikes
Kichwa kichafu alipigwa mvua tatu mkoani Manyara.Wapi kichwa kichafu
Nipo ndugu yangu. Nafurahi kukuona. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Bro habari gani
Paap hosteli zote zinaporomoka. Kuna watu watafanya sherehe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wajenzi walikuwa Wachina ama?