mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Good evening GEITA
Lazima mtu abebeshwe mzigo. Mkuu wa kaya kwani haku-delegate maelekezo yake? Huyo aliyempa usimamizi pamoja na wakandarasi ndiyo wataubeba msalaba. Wakandarasi wangekataa kwa hoja za kitaalamu kuwa ujenzi usingewezekana ingekuwaje? Wewe utakubali kujenga jengo huku unajua kuwa litaporomoka hata kama umeamriwa? Daktari mwadilifu atakubali kufanya operesheni ambayo anajua kuwa mgonjwa atakufa hata kama ameamriwa na wakubwa zake?Mzee hapa hakuna atayefungua mdomo mkuu wa kaya mwenyewe ndiye aliyongoza hii issue alisema watu wanapiga dili
Sasa mwaka haujaisha majanga yake ndio hayo
Hapa Kazi Na ndio mzee movie za bandarini kila Siku Leo Rais kesho Waziri Mkuu Mara Leo Waziri wa utalii yaani full maigizoLazima mtu abebeshwe mzigo. Mkuu wa kaya kwani haku-delegate maelekezo yake? Huyo aliyempa usimamizi pamoja na wakandarasi ndiyo wataubeba msalaba. Wakandarasi wangekataa kwa hoja za kitaalamu kuwa ujenzi usingewezekana ingekuwaje? Wewe utakubali kujenga jengo huku unajua kuwa litaporomoka hata kama umeamriwa? Daktari mwadilifu atakubali kufanya operesheni ambayo anajua kuwa mgonjwa atakufa hata kama ameamriwa na wakubwa zake?
Mifumo yote mibovu yaani hakuna hata pa kuanzia.
Wapinzani orodhesheni yote haya mje myatumie kumwondolea madarakani 2020. Miaka miwili tu bado...
Unafikiri anajali? Hizi ndiyo nondo za kupigia kampeni 2020 ati !!!Mkuu ni mapema sana kujua kitakachoendelea hapo
Rais amejiabisha sana kwa hili
Wewe unafikiri tatizo hapo bandarini ni nini? Kuna utatuzi wa kudumu?Hapa Kazi Na ndio mzee movie za bandarini kila Siku Leo Rais kesho Waziri Mkuu Mara Leo Waziri wa utalii yaani full maigizo
Naona kidogo siku hizi kumetulia hawakamatwi tena Wabongo. Au kama wanadakwa basi hawatangazwi...
Pale pagumu sana panahitajika busara ya hali ya juuWewe unafikiri tatizo hapo bandarini ni nini? Kuna utatuzi wa kudumu?