Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1502292161638.jpeg
 
Lazima mtu abebeshwe mzigo. Mkuu wa kaya kwani haku-delegate maelekezo yake? Huyo aliyempa usimamizi pamoja na wakandarasi ndiyo wataubeba msalaba. Wakandarasi wangekataa kwa hoja za kitaalamu kuwa ujenzi usingewezekana ingekuwaje? Wewe utakubali kujenga jengo huku unajua kuwa litaporomoka hata kama umeamriwa? Daktari mwadilifu atakubali kufanya operesheni ambayo anajua kuwa mgonjwa atakufa hata kama ameamriwa na wakubwa zake?

Mifumo yote mibovu yaani hakuna hata pa kuanzia.

Wapinzani orodhesheni yote haya mje myatumie kumwondolea madarakani 2020. Miaka miwili tu bado...
Tatizo kulindana..MTU ametetea nyufa eti ni kawaida..ngoja tusuburi tuone
 
Back
Top Bottom