mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mungu yupo CCM pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Good one....
Hahaha hahaha yaani wanasiasa hatari sanaMungu yupo CCM pia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Good one....
Ila wanasiasa kiboko. Hawa wanakwenda huku, hawa wanarudi yaani mtu mpaka unachanganyikiwa. Na utachanganyikiwa zaidi ukisiliza sababu zao sasa. Ni kila mtu na tumbo lake....
Kuna maeneo yaani mtu kama una busara inabidi uyashughulikie kwa uangalifu sana. Au unafumba macho tu watu wanaendelea kupiga hela. Inafika mahala unatambua kwamba kutoa tu amri pengine hakusaidii na badala yake inabidi kutazama hasa chanzo cha tatizo ni nini. Kuna mitandao pale ya miaka na miaka na kuibomoa kwa matamko tu na kuvamia siyo rahisi...Pale pagumu sana panahitajika busara ya hali ya juu
Ndio inakimbia..Jumatatu jioni
Hizi ni za kwenda kuhesabia Dubai mkuu. Naona Forex imetema balaa !!!
Ni kurepae...Kwa hiyo sasa?
Whati du wi du nao?
AMUN RA19:15
Kutoa picha bila idhini ya chuo!!TBA watu wake kabisa wa karibu sasa aibu hii sijui wataificha wapi
Dogo aliyepiga hizo picha amekamatwa sasa sijui charge yake ni nini
KweliAliyeamru huo ujenzi pamoja na wakandarasi wake...The buck stops here !!!
Bila busara kutumika pale itakuwa ni hadithi tu unafanya ziara ya kushitukiza ukiondoka watu wanapiga dili kama kawaida hata makusanyo ya TRA yameshuka watu wanapiga dili kama kawaida tu wanaumia watu wa chiniKuna maeneo yaani mtu kama una busara inabidi uyashughulikie kwa uangalifu sana. Au unafumba macho tu watu wanaendelea kupiga hela. Inafika mahala unatambua kwamba kutoa tu amri pengine hakusaidii na badala yake inabidi kutazama hasa chanzo cha tatizo ni nini. Kuna mitandao pale ya miaka na miaka na kuibomoa kwa matamko tu na kuvamia siyo rahisi...
Mkuu niajeNdio inakimbia..
HahahahahaHizi ni za kwenda kuhesabia Dubai mkuu. Naona Forex imetema balaa !!!