mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mwenzio yuko polisi ujue....
Wanasema picha wame zoom,siku hilo jengo litakaposhuka ndo wataelewa...View attachment 643870ubishi mwingine tutakuja upoa maiti za watoto wetu kwenye haya maghorofa ya bei ya chini
Uchochezi ama kusambaza picha za uongo...TBA watu wake kabisa wa karibu sasa aibu hii sijui wataificha wapi
Dogo aliyepiga hizo picha amekamatwa sasa sijui charge yake ni nini
Umekunywa maji lita ngapi leo?uko na sample ya kupeleka kwa mkemia mkuu??Mzee hapa hakuna atayefungua mdomo mkuu wa kaya mwenyewe ndiye aliyongoza hii issue alisema watu wanapiga dili
Sasa mwaka haujaisha majanga yake ndio hayo
Baba mwenye nyumba hasemwi,shauri yako....Mkuu ni mapema sana kujua kitakachoendelea hapo
Rais amejiabisha sana kwa hili
Shemeji umekunywa maji leo?Lazima mtu abebeshwe mzigo. Mkuu wa kaya kwani haku-delegate maelekezo yake? Huyo aliyempa usimamizi pamoja na wakandarasi ndiyo wataubeba msalaba. Wakandarasi wangekataa kwa hoja za kitaalamu kuwa ujenzi usingewezekana ingekuwaje? Wewe utakubali kujenga jengo huku unajua kuwa litaporomoka hata kama umeamriwa? Daktari mwadilifu atakubali kufanya operesheni ambayo anajua kuwa mgonjwa atakufa hata kama ameamriwa na wakubwa zake?
Mifumo yote mibovu yaani hakuna hata pa kuanzia.
Wapinzani orodhesheni yote haya mje myatumie kumwondolea madarakani 2020. Miaka miwili tu bado...
Hujambo lakiniMwenzio yuko polisi ujue....
HahahahahaUmekunywa maji lita ngapi leo?uko na sample ya kupeleka kwa mkemia mkuu??
Naona Nissan nyeupe wacha ninyamazeBaba mwenye nyumba hasemwi,shauri yako....
Utamaduni wangu siachi mtu salama anigongee au aniruke lazima alambe likesGonga likes mkuu Leo nipo sana
Uchochezi ama kusambaza picha za uongo...
Twende Kazi mkuuUtamaduni wangu siachi mtu salama anigongee au aniruke lazima alambe likes