Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Madaktari kwenye hospitali ya kibinafsi ya Max walikuwa wamemtangaza mtoto kuwa amefariki saa chache baada ya pacha mwenzake kutangazwa kufariki baada ya kuzaliwa.
Wazazi wake walisema kuwa walifahamu kuwa mtoto huyo alikuwa hai ndani ya mfuko ambao madaktari walikuwa wamemweka.
 
Huku safi! Dunia hii unaweza kudhani umeyaona/umeyasikia yote, kumbe wala! Kama mambo ya “Mama robi njoo nikurenge”! [emoji23][emoji23]
Acha tu Mungu atuhurumie kwakweli
Ila bora hata jamaa angesema"mama robi njoo nikurenge",jamaa anavuta tu na kutaja jina lake dah!hadi roho yauma kama mimi vile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…