carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Safi za wewe?kwema?Yaani wee acha tu.Mambo vipi mamaangu
Safi za wewe?kwema?Yaani wee acha tu.Mambo vipi mamaangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kufuatilizia kama mziki unapigwa naweza sana tena kwa sauti.Tatizo ni mara paap mziki umezimwa...sauti yangu itakayo toka hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unasauti ya 24 ama??
Namshukuru Mungu,kila jambo lina sababu yake linapo tokea.Safi za wewe?kwema?
Hahahahahaa una vituko weweNilifukuzwa kwenye ukwata baada ya sauti yangu kukosa group.Yaani natia huruma kuliko Ja Rule