Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-24-11-52-21.png
 
Ratiba za chanjo hutofautiana kulingana na nchi au sehemu ya nchi unayoishi. Ni muhimu kufuatilia ratiba ya chanjo kwa mujibu wa mwongozo wa taifa. Watoto wanastahili kupokea chanjo kwa umri unaostahili na kwa muda unaostahili.
Pamoja na kutofautiana huku kwa ratiba za chanjo kati ya nchi na nchi, unaweza kufuatilia utaratibu uliopendekezwa na CDC (Centre for Disease Control) hapa chini.
 
Kichocho ni ugonjwa ambao husababishwa na minyoo aina Schistosoma ambao huishi ndani konokono wa majini(flukes) . Inakadiriwa kuwa watu zaidi milioni 218 duniani walipewa kinga ya ugonjwa huo mwaka 2015. Kulingana na Shirika la Afya Duniani nchi 78 zinasemekana kuwa na maambukizi ya kichocho
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kufuatilizia kama mziki unapigwa naweza sana tena kwa sauti.Tatizo ni mara paap mziki umezimwa...sauti yangu itakayo toka hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama ya chura,kuimba si kuimba kuunguruma si kuunguruma,sipati picha
 
Inasemekana kwamba alisimia 90 ya matibabu ya ugonjwa huu hufanyika Africa hivyo kuonekana kwamba ugonjwa huu umekidhiri sana katika bara la Afrika,Asia na Amerika ya kusini. Mwaka 2014 ugonjwa ulisababisha vifo vya watu 200,000 duniani
 
Kichocho ni ugonjwa ambao husababishwa na minyoo aina Schistosoma ambao huishi ndani konokono wa majini(flukes) . Inakadiriwa kuwa watu zaidi milioni 218 duniani walipewa kinga ya ugonjwa huo mwaka 2015. Kulingana na Shirika la Afya Duniani nchi 78 zinasemekana kuwa na maambukizi ya kichocho
 
Inasemekana kwamba alisimia 90 ya matibabu ya ugonjwa huu hufanyika Africa hivyo kuonekana kwamba ugonjwa huu umekidhiri sana katika bara la Afrika,Asia na Amerika ya kusini. Mwaka 2014 ugonjwa ulisababisha vifo vya watu 200,000 duniani
 
Usaambaaji au maambuzi yanavyotokea

Wadudu hawa uingia kwenye mwili wa binadamu kwa kupitia ngozi pale ambapo mtu anaogelea au kutumia maji ambayo tayari yana watoto wa wadudu aina ya schistosoma baada ya kuishi kwenye konokono wa majini.
 
Baada ya hapo vijidudu hivyo huingia kwenye damu mwilini hukua vikiwa mwilini kisha kukaa kwenye mishipa ya damu na kuanza kutaga mayai baadhi ya mayai hutoka nje kwa njia ya haja kubwa au haja ndogo
 
Mtu huambukizwa ugonjwa huu pale ambapo anaoga au kukanyaga maji ambayo tayari ameshachafuliwa na mkojo au haja kubwa ya mtu mwenye Kichocho.
 
Back
Top Bottom