[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] radi si radi ili mradi tu nimepiga kelele.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama ya chura,kuimba si kuimba kuunguruma si kuunguruma,sipati picha
Amin[emoji120] [emoji120]Na Mungu ndo faraja yetu kila siku[emoji120][emoji120]
Hapo kwenye "konokono" kazia kidogo(Konokono wa majini ambao husababisha kichocho)
Mambo ya kijamii ambayo husababisha ugonjwa huu
Natamani nisikie ukiwa unapiga kelele[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] radi si radi ili mradi tu nimepiga kelele.
Yaani sijui kama nina faida yoyote hapa duniani kwa jamii
Mamaako ananizodoaga kama nafuatiliza kuimba kwenye sherehe...hataki nimtie aibu wakizima ghafla[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Natamani nisikie ukiwa unapiga kelele[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]Mamaako ananizodoaga kama nafuatiliza kuimba kwenye sherehe...hataki nimtie aibu wakizima ghafla[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inawezekana kipengele hicho ndicho kimetufanya tudumu kwenye huu uzi,lasivyo....[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
MATURITY is the ABILITY to LIVE in PEACE with Those, Whom We can not CHANGE.!
People are not DIFFICULT, People are just DIFFERENT.!
If We UNDERSTAND this,
We can HANDLE Many RELATIONSHIPS very EASILY in LIFE.
[emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262][emoji261][emoji262]
Lakini bado naamini ipo siku nitakuwa muimbaji mzuri sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23]
Yuko vizuri hata mimi nisingetaka aibu eti