Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Broke ass nigga. Jamani !!!

Broke ass nigga huyo anaweza akatokea kuwa ndiyo man of your dreams na mkaishi naye maisha ya furaha sana. Na hakuna guarantee kuwa atabakia kuwa broke ass nigga. Na tajiri wa leo huko mbele anaweza kufulia na kuwa broke ass nigga. Haya mambo hayana fomyula shemeji. Tumakinikie ubinadamu na upendo wa kweli [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hata sijakataa shemeji sema hiyo point ya eti kaokote yeyote ndo siitaki maana inaonyesha kama uko na upweke saaana....
 
Tia neno shemeji...
Mambo mengine siyo ya kutia neno. Ni ya kusoma tu kimya kimya unapita unakwenda zako. Ukitia neno unaharibu !!!

[emoji117][emoji117][emoji117]Mtume Issa Alitushauri sana tujenge nyumba zetu juu ya mwamba, na kamwe siyo juu ya mchanga (wa aina yo yote ile!)..Ni hilo tu shemeji [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
4af439fbf929b9f8ed822fa9755f34ae.jpg
 
Haya shemeji....
 
Back
Top Bottom