Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

24327174_293110711182702_2023763919583051776_n.jpg
Ken?
67312d3158ea18fd451a58514d06a06c.jpg
 
Hutaki kulinda heshima ya ukoo?ile "wakoromije hatushindwi kitu"?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapambana tu....
"Every man must know his limitations as a man" Clint Eastwood in Dirty Harry...

Ukifa kijinga eti unapambana kulinda heshima ya ukoo si ndiyo hasara na aibu kabisa? Imagine ukoo wanasoma kwa Shigongo "Njemba Yafa "Ikipambana" na Jimama Gesti House". Hasara iliyoje japo Andjul atasema ni kifo cha kishujaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom