myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
AmenSiku iwe njema
AmenTuwe na afya na furaha
Andjul hapa atapiga talalila tu na manyimbo yake yale yasiyoeleweka.Cc:andjul [emoji125] [emoji125] [emoji100] [emoji100]
Hutaki kulinda heshima ya ukoo?ile "wakoromije hatushindwi kitu"?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Andjul hapa atapiga talalila tu na manyimbo yake yale yasiyoeleweka.
Hapa mi niko radhi heshima ya ukoo ipotee tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna !!!
"Every man must know his limitations as a man" Clint Eastwood in Dirty Harry...Hutaki kulinda heshima ya ukoo?ile "wakoromije hatushindwi kitu"?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unapambana tu....