carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Teh!andjul anakwambia hata kama ni aibu we ushakufa tayari[emoji23][emoji23][emoji23]"Every man must know his limitations as a man" Clint Eastwood in Dirty Harry...
Ukifa kijinga eti unapambana kulinda heshima ya ukoo si ndiyo hasara na aibu kabisa? Imagine ukoo wanasoma kwa Shigongo "Njemba Yafa "Ikipambana" na Jimama Gesti House". Hasara iliyoje japo Andjul atasema ni kifo cha kishujaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Drama queen,tushamchoka na mambo yakeMwombeeni huyu....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna kiwanda huko[emoji125] [emoji125] [emoji100]
Kwahiyo wale wengine wanapataga stress[emoji23][emoji23][emoji23]hivi mna nini lakini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndiyo wanatuletea za "bure" hawa?Kuna kiwanda huko[emoji125] [emoji125] [emoji100]
Vimbaumbau vingi gubu shemeji halafu maneno mengi. Matipwatipwa haya mapochopocho kibao halafu mapoooooole hayana shida na mtu. Ngoja nikutumie article nzima uisome [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Kwahiyo wale wengine wanapataga stress[emoji23][emoji23][emoji23]hivi mna nini lakini?
Nilisikia na serikali inampango wa kuagiza nyingi zaidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Si ndiyo wanatuletea za "bure" hawa!!!
Heee![emoji134][emoji134][emoji134]jamani jamaniVimbaumbau vingi gubu shemeji halafu maneno mengi. Matipwatipwa haya mapochopocho kibao halafu mapoooooole hayana shida na mtu. Ngoja nikutumie article nzima uisome [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Suala siyo kuagiza tu. Watu wanazitumia?Nilisikia na serikali inampango wa kuagiza nyingi zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]