Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tukawakumbuke na wenzetu wasio na cho chote
Ni kweli. Mungu Akatubariki sote siku ya leo. Nasi tukajitahidi kutenda yampendezayo Yeye [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ukalale sasa...
Amin[emoji120][emoji120][emoji120]uwe na usiku mwema...Ni kweli. Mungu Akatubariki sote siku ya leo. Nasi tukajitahidi kutenda yampendezayo Yeye [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
DuhMKE : jiji hili siku hizi lina wasichana wazuri MUME: Wabaya watoke wapi wakati tumeshawaoa? MPAKA MUDA HUU MWANAMKE ANAPAKIA NGUO ZAKE NADHANI ANAENDA KUFUA
Kusifiwa...Hivi mtoto kama huyu ni nini anachokikosa mpaka anaamua kujianika hivi? [emoji848]