goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Habari ya desemba wana Jf
Mnazungumzia nn kuhusu huu mwaka 2017....
Mnazungumzia nn kuhusu huu mwaka 2017....
Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120]Naona majukumu yamebamba mbaya. Kuko kimya sana hapa. Natumaini kila mmoja wetu yuko salama na maisha yanasonga. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mimi nimeamshwa salama. Wewe siku yako inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Amen[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Habari yako kipenzi? Umeamkaje?
Joe Pesci...Home Alone....Goofies...
Sema muungwana wa pwani.Kwema ndugu zangu
Iko salama kabisa my dear[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mimi nimeamshwa salama. Wewe siku yako inaendeleaje? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]