Kiungulia ni hali inayojitokeza kwa mtu kuhisi maumivu ya kuwaka moto yakianzia maeneo ya chini ya kifua yakipanda katikati ya kifua hadi kufikia katika usawa wa kooni.
Hali hii ya kuhisi kuwaka moto kooni au kifuani husababishwa na tindikali au acid iliyoko tumboni ambapo tindikali hii inakuwa inapanda juu kutoka tumboni kutokana na matatizo mbalimbali
kutokana na tafiti zilizofanywa, imegundulika kuwa, mtu kuwa na kiungulia cha mara kwa mara huwa hatarini kupata tatizo la kansa ya koo kwa asilimia 78, na hii ni kwa watu ambao siyo watumiaji wa pombe na pia kwa wasiotumia au kuvuta sigara.
Tafiti hizo zilizofanyika nchini marekani na kuchapishwa katika jarida maalumu la habari za kitafiti za magonjwa ya kansa, A journal of the American Association for Cancer Research, pia zimeeleza kuwa,
dawa zinazotumika kupunguza tindikali (Antacids) zimeonekana kusaidia kupunguza hatari ya mtu kupata kansa ya koo inayosababishwa na kiungulia cha mara kwa mara, lakini kwa dawa zinazotumika kuua vijidudu vinavyosababisha magonjwa,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.