katika tafiti hiyo utaona kwamba, inawezekana mtu tatizo la kuwa na kiungulia akaliona ni kitu kidogo sana, na hata akaacha kuchukua hatua zinazostahili ili kuondokana na hali hiyo,
lakini mwisho wake ni kuja kupata tatizo kubwa zaidi, kansa, utahitaji muda mwingi zaidi, gharama kubwa na kupitia matibabu magumu ili kuithibiti kansa ya koo.
Sasa ni wakati wa kubadilika, tujiepushe na vitu vinavyoweza kuleta kiungulia. Tuwe na utaratibu maalumu wa kula chakula kwa maana ya kutokaa na njaa kwa muda mrefu ambapo pia itasaidia kuepuka vidonda vya tumbo,
kunywa maji ya kutosha hata kama hauna kiu na pia kufuata ushauri wa wataalamu wa afya kulingana na hali yako ili kuweza kuishi katika afya nzuri zaidi.
KIUNGULIA NI NINI? Kiungulia ni ugonjwa unaomtokea mtu mara moja kwa wiki, ingawa kuna watu wengine hutokewa mara kwa mara, hii huwa ni tatizo siriasi.
Ugonjwa huu husababishwa na gesi nyingi tumboni. Dalili Maumivu kifuani katikati hasa wakati wa kulala usiku. Kuwa na ladha ya asidi nyingi mdomoni, kukohoa, wakati mwingine unaweza kutoa makohozi
sauti inaweza kukauka na ukawa unakoroma pia. Madhara Kama utahisi una dalili za ugonjwa huu ni vyema ukamuona daktari haraka ili kukusaidia kuondokana na tatizo hilo kwani linaweza kuwa ni tatizo kubwa linaloweza kusababisha kuvuja damu kwenye koromeo,
Mwishoni mwa wiki hii dunia itasimama, mchezo mkubwa kabisa wa kufunga mwaka EPL utapigea kati ya majirani wawili Manchester United watakaokuwa nyumbani kuwakaribisha Manchester City
Huu ni mchezo baina ya vilabu viwili vyenye nguvu ya pesa lakini pia ni mchezo kati ya makocha wawili ambao wanatajwa kuwa moja kati ya makocha bora sana duniani katika kizazi cha sasa.
Kama kawaida Jose Mourinho na Pep Gurdiola mara zote maneno hayakosekani, tayari Jose Mourinho ameanza maneno kwa kumshutumu kocha wa Manchester City Pep Gurdiola kwamba anadanganya kuhusu majeruhi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.