Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

kutokana na tafiti zilizofanywa, imegundulika kuwa, mtu kuwa na kiungulia cha mara kwa mara huwa hatarini kupata tatizo la kansa ya koo kwa asilimia 78, na hii ni kwa watu ambao siyo watumiaji wa pombe na pia kwa wasiotumia au kuvuta sigara.
 
Tafiti hizo zilizofanyika nchini marekani na kuchapishwa katika jarida maalumu la habari za kitafiti za magonjwa ya kansa, A journal of the American Association for Cancer Research, pia zimeeleza kuwa,
 
dawa zinazotumika kupunguza tindikali (Antacids) zimeonekana kusaidia kupunguza hatari ya mtu kupata kansa ya koo inayosababishwa na kiungulia cha mara kwa mara, lakini kwa dawa zinazotumika kuua vijidudu vinavyosababisha magonjwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…