Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

NNE Wakati huku Tanzania, konokono akionekana mdudu anaetia kinyaa kwa baadhi ya watu,nchini za China na Japan wanyama hawa wamekuwa wakitumika kama kitoweo na wengi wao hufugwa na binadamu
 
TANO Watafiti Wafaransa wamebaini kwamba unga wa konkono ni tiba muhimu sana kwa vidonda vya tumbo na mg 10 tu huweza kupunguza zaidi ya 42% ya vidonda vya tumbo na pia hutibu magonjwa sugu ya kurithi ikiwemo pumu na hata kutengenezea manukato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…