Kwanza ; Kuwa na mtazamo chanya.
Usipende kuangalia matatizo, vikwazo au mapungufu kwanza, penda kutafuta uzuri na ubora wa kitu kabla ya yote. Hii itakusaidia kuwa na mtizamo chanya.
Mtizamo utakaokuepusha na hisia hasi ambazo ni chanzo cha kukosa furaha. Kwa kufanya hivi utajenga mtizamo wa kusaidia jambo/kitu au mtu kuwa bora zaidi kuliko kuona matatizo.
Pili ;Angalia matatizo kama daraja la kukuvusha hatua bora zaidi.
Yaangalie matatizo kama daraja kwa sababu matatizo hukusaidia kukupima ulivyo imara na ukiyatatua yanakuongezea ujasiri zaidi.