Nsamaka, mzima weweJirani mpenzi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]Mara yake ya mwisho kuingia JF ni Septemba 27, 2017. Inawezekana Alshabab walishafanya yao (God forbid)
Tulitekwa na bokoharam, tumerudishwaHv mmelala au mmeibwa?
Mzima wa afyaNsamaka, mzima wewe
Inaumiza sana jamani daaa..Christina ameiambia mahakama mbele ya mahakama Mkazi Mfawidhi wilaya ya Tabora mjini Jaktoni Lushwela kwamba mtuhumiwa baada ya kubaini tayari amekwisha msababishia binti yake ujauzito aliamua kumasfirisha ikiwa ni mpango wa kuficha ukweli.
Mbona umepotea sana mremboMzima wa afya
Kweli maana mtoto kakatishiwa future nzimaInaumiza sana jamani daaa..