Hahahaha kweli milembe kaanza haribu sifa za kabila. Halafu juliana shonza sijui anajisikiaje kuwa waziri wa wizara ambayo inashindwa kusimamia maadili wakat mdogo wake ndo huyo janeWasukuma nao wanakuja juu eeeeh!
Milembe anapata wapi ujasiri wa kumvisha Ng'wanashonza pete?