Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1bae9838f06d852d3ff8dbfb3d59be46.jpg
 
Pili, jeshi la polisi pia limefanikiwa kumtia mbaroni mwanamke aliyevishwa pete, Janeth Shonza (25), mwanafunzi wa mwaka wa nne wa sheria katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Mwanza.
 
Amewataja wengine wanaoshikiliwa na kutarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote uchunguzi utakapokamilika kuwa ni Richard Fabian (28), mkazi wa Buzuruga jijini Mwanza aliyepiga na kusambaza mitandaoni picha za wanawake hao wakivishana pete mitandaoni.
 
Hahahah jamani bibi harusi sio mm, hata kadi sina yaan taarifa na mm nimezipatia humu haha. Nikakuta na mwingine karusha bomu.
Ndo mana nikakwambia "nimeelewa" Kumbe jamaa ndo zake halafu bibie kamlipua vizuri na ule mchezo wa jana alikuwa anausoma,ila hii ndo jeiefu bhana usipo shangaza utashangazwa....
 
Kamanda Msangi amemtaja mwingine anayeshikiliwa kuwa ni Aneth Mkuki (24), mkazi wa Nyasaka jijini Mwanza, mpenzi mwingine wa Janeth aliyemsaidia kutoroka kukwepa kutiwa mbaroni na polisi baada ya video yao kusambazwa mitandaoni.
 
Watu wengi wamekuwa wakiogopa kuugua au kusikia wapendwa wao wakiugua saratani wakati nao wako kwenye hatari ya kupata matatizo hayo kutokana na mitindo ya maisha wanayoishi ambayo inaweza kuwasababishia saratani.
 
Back
Top Bottom