Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saratani inatibika kwa njia mbalimbali kulingana na steji au kiwango cha kusambaa kwa seli mwilini. Tiba ya mionzi hutumika endapo seli hazijasambaa mwilini, mionzi hupigwa katika eneo husika. Pia, madaktari wanaweza kuondoa kiungo husika ambacho kimeathirika na saratani.
 
Kama seli zimesambaa zaidi mwilini hatua ya 3 na 4, madaktari hutumia tiba ya dawa (chemo) aidha kwa kuchoma sindano au kunywa vidonge. Wengi wanapoteza maisha kwa kuchelewa kupata matibabu ya saratani, jambo linalosababisha tatizo kuwa kubwa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…