Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapi SHIMBA YA BUYENZE
d88eb7fe5a99eafa40ba6c43e10c0bb9.jpg
 
Milioni 5 kubeba mimba ya mtu mwingine. Looks like a good deal na mwanamke ye yote angeichangamkia fursa...

Hii ishu ya sexual harassment itaondoka na watu wengi sana aisee. Kuna profesa mmoja wa kike aliwahi kunitia majaribuni sana wakati nasoma huku miaka ya nyuma kidogo. Sijui nami nilianzishe atumbuliwe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Heeh[emoji134][emoji134][emoji134]
Hebu lianzishe shemeji tuneemeke bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilishasimulia kisa cha huyo mama. Wazungu nawapenda sana kwa kweli. Akiamua kukutunuku konokono ameamua hakuna cha kuzungushana wala nini...[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Tumshitaki basi si wanalipa fidia ama?
Akili inawaza hela tu hapa[emoji23][emoji23]
 
Nilishasimulia kisa cha huyo mama. Wazungu nawapenda sana kwa kweli. Akiamua kukutunuku konokono ameamua hakuna cha kuzungushana wala nini...[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

Tena anakufata kabisa mwenyewe halafu kakutolea macho kabisa! Hapo sasa either ukwepesha yako au kieleweke! Eye contact kwao ni big deal! [emoji1][emoji1]
 
Ilinichukua muda kuligundua hili. Ukikwepesha macho basi unaonekana we muongo na huaminiki.

Zali kubwa Ng'wanawane najikokota jioni kurudi home kitabu kinasumbua sababu ya ugeni nimechoka mama wa kizungu kaniambia atakuja kupiga stori nafikiri utani kumbe kweli kaja na wine yake na mishumaa juu. Mkoromije na ushamba wangu nikawa sijausoma mchezo. Kuja kushtuka mwenzangu yuko bafuni anakoga ili apande kitandani alale. "Ai emu slipingi hia tunaiti"...mi niko "sei whaaaaaaaaaat!" Ndo nikajua wazungu kiboko [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Ng’wanawane amezoea “Chagulaga mayo”, huyu wa kujileta mwenyewe unaona kama anakutegeshea kibomu flani hivi! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom