carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23]mbuzi akafia kwa muuza supu na supu haikupikwa,uuwiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aisseeh!!Ilinichukua muda kuligundua hili. Ukikwepesha macho basi unaonekana we muongo na huaminiki.
Zali kubwa Ng'wanawane najikokota jioni kurudi home kitabu kinasumbua sababu ya ugeni nimechoka mama wa kizungu kaniambia atakuja kupiga stori nafikiri utani kumbe kweli kaja na wine yake na mishumaa juu. Mkoromije na ushamba wangu nikawa sijausoma mchezo. Kuja kushtuka mwenzangu yuko bafuni anakoga ili apande kitandani alale. "Ai emu slipingi hia tunaiti"...mi niko "sei whaaaaaaaaaat!" Ndo nikajua wazungu kiboko [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Nimechekaa haki....