Yego habari mkuucarbamazepine...[emoji15][emoji124][emoji124]
Yego habari mkuu
Wapi SHIMBA YA BUYENZE
Oyoooocarbamazepine...[emoji15][emoji124][emoji124]
Mara kapigwa shoti paap!kawa nyama chomaHoliday mood....
Heeh[emoji134][emoji134][emoji134]Milioni 5 kubeba mimba ya mtu mwingine. Looks like a good deal na mwanamke ye yote angeichangamkia fursa...
Hii ishu ya sexual harassment itaondoka na watu wengi sana aisee. Kuna profesa mmoja wa kike aliwahi kunitia majaribuni sana wakati nasoma huku miaka ya nyuma kidogo. Sijui nami nilianzishe atumbuliwe? [emoji23][emoji23][emoji23]
Oyoooo
Nambie yego[emoji4][emoji4]
Match day man u vs man city
Nilishasimulia kisa cha huyo mama. Wazungu nawapenda sana kwa kweli. Akiamua kukutunuku konokono ameamua hakuna cha kuzungushana wala nini...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Heeh[emoji134][emoji134][emoji134]
Hebu lianzishe shemeji tuneemeke bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona anakipalaa maldadiiiiHalooooooooooooooooooo !!!
Thubiri karibu na kirisimasi nitatoa ile nyingine....Yaani Ijumaa yote hii unanipa “Oyoooo”! Thawa tu, mimi niko poa! Vipi Habari ya wewe!
Tumshitaki basi si wanalipa fidia ama?Nilishasimulia kisa cha huyo mama. Wazungu nawapenda sana kwa kweli. Akiamua kukutunuku konokono ameamua hakuna cha kuzungushana wala nini...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Thubiri karibu na kirisimasi nitatoa ile nyingine....
Salama kabisa,aje huko
Nilishasimulia kisa cha huyo mama. Wazungu nawapenda sana kwa kweli. Akiamua kukutunuku konokono ameamua hakuna cha kuzungushana wala nini...[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ilinichukua muda kuligundua hili. Ukikwepesha macho basi unaonekana we muongo na huaminiki.Tena anakufata kabisa mwenyewe halafu kakutolea macho kabisa! Hapo sasa either ukwepesha yako au kieleweke! Eye contact kwao ni big deal! [emoji1][emoji1]
Ilinichukua muda kuligundua hili. Ukikwepesha macho basi unaonekana we muongo na huaminiki.
Zali kubwa Ng'wanawane najikokota jioni kurudi home kitabu kinasumbua sababu ya ugeni nimechoka mama wa kizungu kaniambia atakuja kupiga stori nafikiri utani kumbe kweli kaja na wine yake na mishumaa juu. Mkoromije na ushamba wangu nikawa sijausoma mchezo. Kuja kushtuka mwenzangu yuko bafuni anakoga ili apande kitandani alale. "Ai emu slipingi hia tunaiti"...mi niko "sei whaaaaaaaaaat!" Ndo nikajua wazungu kiboko [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️