Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Cc:andjul[emoji23][emoji23][emoji23]Obed Mwaka..... kweli kapata mke. Na Sophia naye kweli kapata mume. Mwakaleli oyeeeeeee !!!!!!
Ni kweli katoa hili tamko au wanamsingizia? Kama ni kweli amelitoa, muktadha wake ni upi?
Shem hiki ni kitabu?kama ndio naomba....
Hakuna cha kusingiziwa.Ni kweli katoa hili tamko au wanamsingizia? Kama ni kweli amelitoa, muktadha wake ni upi?
Shwari kiongoziSafi moud! Mambo vipi?
Unapenda mashairi? Ndiyo ni kitabu. Hakuna shida...Shem hiki ni kitabu?kama ndio naomba....
Waleykum salaamAsalaam alyekum
Samahani sana kwa kujibu comment yako mura.Hakuna cha kusingiziwa.
Si unajua hii mipumbafu inatoa mitamko ya kipumbafu tu kila kukicha??
Sanaaa tena mnoo,nashukuru sanaUnapenda mashairi? Ndiyo ni kitabu. Hakuna shida...
Hiyo ni Mwakaleli laivu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Cc:andjul[emoji23][emoji23][emoji23]
"Kwanzia reo wewe ni mume wangu arari"[emoji23][emoji23][emoji23]kiswahili ya wapi hii msaada tafadhali
Nimeshakuona. Umeanza sana kuegemea upande ule. Bakia hapa hapa mpaka kieleweke !!!Habari zenu hapa
Sijambo mdogo wangu, kwemaWaleykum salaam
Hujambo kaka?
Asalaam alykum, kwema mkuuKila jambo na muda wake