Hahaha hahaha[emoji3] [emoji3] kuna tatizo linasumbua hasa ninapokua nje ya mtandao. Tupunguze post za picha. zinachelewesha kufunguka hasa tunapokua eneo ambalo net inazingua. Maana hapa tumefikia mpaka page 10 tuna post picha. Ni tatizo kwa sisi tunaopitapita maeneo ambayo hayana mawasiliano mazuri.Nimeshakuona. Umeanza sana kuegemea upande ule. Bakia hapa hapa mpaka kieleweke !!!
Hahahah nshabet likes siwez kimbiaUsijifiche hiyo siku! Nitakutafuta popote ulipo na kwa gharama yoyote! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Mzee Ruta utambebea mbeleko gani na picha non stop za ipielo? Kwangu mimi nitapunguza hakuna tatizo...Hahaha hahaha[emoji3] [emoji3] kuna tatizo linasumbua hasa ninapokua nje ya mtandao. Tupunguze post za picha. zinachelewesha kufunguka hasa tunapokua eneo ambalo net inazingua. Maana hapa tumefikia mpaka page 10 tuna post picha. Ni tatizo kwa sisi tunaopitapita maeneo ambayo hayana mawasiliano mazuri.