Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ugonjwa wa moyo; chumvi husababisha kuvimba kwa moyo na kuufanya kua mkubwa kitaalamu kama left ventricular hypertrophy, hii husababisha moyo kushindwa kusukuma damu kama unavyotakiwa kufanya kazi.
 
magonjwa ya figo; kupanda kwa presha ya damu husukuma damu nyingi sana kwenye mishipa ya damu, hii huharibu figo na kuifanya kushindwa kutoa maji mwilini lakini pia viungo muhimu kama macho na mishipa ya damu huharibika.
 
addiction; ulaji mkubwa wa chumvi humfanya mlaji kuendelea kupenda vyakula vyenye chumvi nyingi sana na kushindwa kabisa kuvumilia kula vyakula vyenye chumvi kidogo...hii hizidi kuathiri mwili na kuusababishia matatizo makubwa zaidi.
 
kiharusi; huu ni ugonjwa wa kupooza unaosababishwa na kuziba kwa mishipa ya damu ya kwenye ubongo kutokana na mafuta au kuvujia kwa damu, kwa ulaji wa chumvi nyingi huongeza presha ya damu na kupasua mishipa midogo ya kichwa na kuleta kiharusi.
 
kuongezeka uzito; kama nilivyosema hapo mwanzo kwamba chumvi huzuia maji kutoka nje ya mwili, hii huongeza uzito wa mwili na kumfanya mtu kujisikia amejaa tumbo muda mwingi, kumbuka lita moja ya maji sawasawa na kilo moja ya uzito.
 
kupungua kwa uwezo wa mishipa ya fahamu; katika watu wenye umri mkubwa chumvi inazidi kupunguza uwezo wao wa kufanya shughuli mbalimbali na kujikuta wakitetemeka na kushindwa kubeba hata kikombe kimoja cha chai.
 
mwili kushindwa kutoa mabaki mwilini; chumvi nyingi mwilini huingilia mfumo wa mwili kuondoa mabaki ya uchafu mwilini, moja ya mabaki yanayobaki ndani ya mwili ni uric acid ambayo inaweza kusababishwa ugonjwa wa maumivu makali ya jointi kitaalamu kama gauti.
 
Umemaliza.

Nikizionaga tu hazifunguki narudi shambani kupalilia maparachichi.
Network huku bila antenna ya Chadema[emoji111] haupati kitu.
Good morning watu wa Mungu[emoji120]
Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu, picha kupita kiasi kitaufanya Uzi ukimbiwe
Umemaliza.

Nikizionaga tu hazifunguki narudi shambani kupalilia maparachichi.
Network huku bila antenna ya Chadema[emoji111] haupati kitu.
Good morning watu wa Mungu[emoji120]
Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu? picha kupita kiasi zitaufanya Uzi ukimbiwe
 
Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu, picha kupita kiasi kitaufanya Uzi ukimbiwe

Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu? picha kupita kiasi zitaufanya Uzi ukimbiwe
Angalau kama ni picha za kuchekesha au kufundisha. Picha za Ipielo yaani dah. Pengine kwenu wapenda soka zina maana kwa sababu hata hao wachezaji mnawajua. Kwangu mimi ni zero kabisa.

Nimeona picha hizo zikianza kunyesha watu wanakimbia uzi. Mwombeni arudi tu kwenye namba au zile spoilers za wakati ule.

Kwa upande wangu nitapunguza sana picha na sikujua kama zilikuwa kero..
 
Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu, picha kupita kiasi kitaufanya Uzi ukimbiwe

Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu? picha kupita kiasi zitaufanya Uzi ukimbiwe
Taratibu wakuu msikwazike hata mboga na vyakula vina radha tofauti. Picha ziwepo tu najua kuna saa netwrk tatizo lakin tukiwekeana limits hizi zinapunguza utamu wa uzi. Tuvumiliane tu ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…