carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwani lazima uone hizo picha?hazifunguki nenda page nyingine ikigoma log out mbona maisha mepesi jamani?Umemaliza.
Nikizionaga tu hazifunguki narudi shambani kupalilia maparachichi.
Network huku bila antenna ya Chadema[emoji111] haupati kitu.
Good morning watu wa Mungu[emoji120]