Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zile picha (screenshots) mamia kwa mamia za ipielo tena kila siku zina utamu kweli?Taratibu wakuu msikwazike hata mboga na vyakula vina radha tofauti. Picha ziwepo tu najua kuna saa netwrk tatizo lakin tukiwekeana limits hizi zinapunguza utamu wa uzi. Tuvumiliane tu ndugu
Picha kama zako zile. Hizo hata uweke milioni ni burudani tosha. Sijui unazipataga wapi. Siku hizi huziweki hapa na kuzipata mpaka niende kufukunyua kwenye nyuzi zako zingine....