Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Zile picha (screenshots) mamia kwa mamia za ipielo tena kila siku zina utamu kweli?Taratibu wakuu msikwazike hata mboga na vyakula vina radha tofauti. Picha ziwepo tu najua kuna saa netwrk tatizo lakin tukiwekeana limits hizi zinapunguza utamu wa uzi. Tuvumiliane tu ndugu
Daah am speechless. Nataman na mie ningekereka kwa picha ila ndo kwanzaa nazipenda,maana zote zina maana na umuhimu wakeAngalau kama ni picha za kuchekesha au kufundisha. Picha za Ipielo yaani dah. Pengine kwenu wapenda soka zina maana kwa sababu hata hao wachezaji mnawajua. Kwangu mimi ni zero kabisa.
Nimeona picha hizo zikianza kunyesha watu wanakimbia uzi. Mwombeni arudi tu kwenye namba au zile spoilers za wakati ule.
Kwa upande wangu nitapunguza sana picha na sikujua kama zilikuwa kero..
Bet likes 20 (bora umesahau hahahhaa)Hivi ni leo uwiiiii ?!!!
Bet ilikuwaje? Nikumbushe nikae tayari tayari...
Ulisema utaniongezea zifike hamsini. Mi nitakupa mia. Nshakumbuka. Gemu saa ngapi?Bet likes 20 (bora umesahau hahahhaa)
Kuna sehemu insta nazipata ngoja nitafute jina la account uzifate maana siku hizi nimestaafu kutupia mapicha picha, kuna mwingine anajiita mr misifa nae anatupia,kuna toba ngweno insta hukoZile picha (screenshots) mamia kwa mamia za ipielo tena kila siku zina utamu kweli?
Picha kama zako zile. Hizo hata uweke milioni ni burudani tosha. Sijui unazipataga wapi. Siku hizi huziweki hapa na kuzipata mpaka niende kufukunyua kwenye nyuzi zako zingine....
Aiseee ajali kaziniWake za watu sawa lakini siku ukibambwa ndo shida sasa. Inabidi tu uwe mpole .....
Hahahahaa nikajua umesahau. Gemu kesho jioniUlisema utaniongezea zifike hamsini. Mi nitakupa mia. Nshakumbuka. Gemu saa ngapi?
Ajali za kujitakia tu. Wanawake single bwerere ya nini ukahangaike na wa mwenzio? Walimlima panga la kichwa akipona bahati yake na naamini hatarudia tena !!!Aiseee ajali kazini
Atasingizia shetan ila na huyo mwanamke nae atakua na makosa yake.Ajali za kujitakia tu. Wanawake single bwerere ya nini ukahangaike na wa mwenzio? Walimlima panga la kichwa akipona bahati yake na naamini hatarudia tena !!!
Huwa napendaga mitazamo yako. Uko sahihi kabisa. Wenyewe wanasema hakuna kitu kinauma kama kuchapiwa. Ndiyo maana katika mafumanizi haya mume huwa yuko sharp kumshughulikia mgoni wake kwanza potelea mbali hata kama anajua kuwa mkewe hatulii au kashinikizwa. Baadaye sasa ndo atadili na mkewe huko wakiwa wawili.Atasingizia shetan ila na huyo mwanamke nae atakua na makosa yake.
Kuna fumanizi mengine unakuta mbaba mwenye hela zake anamtishia mwanamke kumharibia sifa kwa jamii au kumnyima ajira au kumfukuza kazi kama hatatoa penzi fumanizi la hivi adundwe tu,hapa akipigwa mwanamke anakua kaonewa maana hakua na jins ya kutosalit
Mwanamke machepele,hata afanywe vipi haridhiki macho juu juu,huyu nae akifumaniwa kumpiga mwanaume inakua uonevu tu
Vidole vitakuwa tayari likes mia. Nitafukunyua post zako zote ambazo sijazipa likes (kama zipo) otherwise likes zangu 50 chapu chapu. Nadhani mtafungwa tu. Man City siyo Aseno jamani....Hahahahaa nikajua umesahau. Gemu kesho jioni
Hahahahaa haina haja ya kufukua post za nyuma maana hapa nna speed ya kujaza sms kujaribu fikia rekod ya ruta. Usiku shimba utakua upande wa rekodi za sms ulizoandika JF congrats in advanceVidole vitakuwa tayari likes mia. Nitafukunyua post zako zote ambazo sijazipa likes (kama zipo) otherwise likes zangu 50 chapu chapu. Nadhani mtafungwa tu. Man City siyo Aseno jamani....
Maisha ya ndoa yanahitaji moyo wa uvumilivu mno. Watu wanasalitiana wanafumaniana ila wanasameheana mpka mtu unashangaa moyo huo wa kipekee unapotokea kipind kigumu kama hichoHuwa napendaga mitazamo yako. Uko sahihi kabisa. Wenyewe wanasema hakuna kitu kinauma kama kuchapiwa. Ndiyo maana katika mafumanizi haya mume huwa yuko sharp kumshughulikia mgoni wake kwanza potelea mbali hata kama anajua kuwa mkewe hatulii au kashinikizwa. Baadaye sasa ndo atadili na mkewe huko wakiwa wawili.
Na kama ndo mkeo umemfuma laivu hivi, mkifikishana nyumbani inakuwaje sasa? Mazungumzo yanaanzia na kuelekea wapi? Haya mambo ni magumu kwa kweli....
Mtu unakuta mmetoka naye mbali sasa unakuwa huna la kufanya. Unasamehe japo sidhani kama utakaa umwamini tena. Na wanaume sisi sijui tukoje. Hata kama wewe una michepuko huko nje bado hutaki mkeo naye achepuke na ukimfumania namna hii unakuwa mbogo kweli kweli wakati na wewe unafanya yale yale.Maisha ya ndoa yanahitaji moyo wa uvumilivu mno. Watu wanasalitiana wanafumaniana ila wanasameheana mpka mtu unashangaa moyo huo wa kipekee unapotokea kipind kigumu kama hicho
Sipendi physics jamani[emoji35][emoji35]yaani umenikumbusha machungu....View attachment 646856
Haya makitu yanakukumbusha wapi?
Mh!mara ya kwanza alikuwa ana post namba mkaanza kusema namba zina bore sasa kahamia kwenye picha mmeanza kulalama tena.Naye apunguze ili tufurahie uzi huu, maana sasa inaonyesha ni afadhari ya zile namba kuliko picha, inafikia kushindwa kumwagia mtu likes kisa picha inakupotezea muda. Sipati tabu kumwagia likes numbisa maana post zake ziko poa. Sasa page kama haifunguki inabidi utafute inayofunguka ucheke kidogo maisha yasonge. Ni hivyo tu mkuu