carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwani lazima uone hizo picha?hazifunguki nenda page nyingine ikigoma log out mbona maisha mepesi jamani?Umemaliza.
Nikizionaga tu hazifunguki narudi shambani kupalilia maparachichi.
Network huku bila antenna ya Chadema[emoji111] haupati kitu.
Good morning watu wa Mungu[emoji120]
Kama kuna anayekimbia uzi ni kwashida na mambo yake binafsi acheni kuharibu starehe za watu,kwani zile picha za misambwanda zimewachosha?au mnazungumzia za ipielo tu?Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu, picha kupita kiasi kitaufanya Uzi ukimbiwe
Kumbe tulikuwa wengi tuliokwazika mkuu? picha kupita kiasi zitaufanya Uzi ukimbiwe
Binadamu huwezi kutufurahisha bana. Siku inaendeleaje?Mh!mara ya kwanza alikuwa ana post namba mkaanza kusema namba zina bore sasa kahamia kwenye picha mmeanza kulalama tena.
Mimi nilifikiri lengo ni kupost chochote kumbe kunapost zinazofurahisha na kubore[emoji23][emoji23][emoji23]
Kila mtu afanye chenye moyo unapenda ukiona picha hazifunguki nenda page nyingine,acheni kila mtu apost anachotaka...
Binadamu!!!
Shemejiiiii !!!Kwani lazima uone hizo picha?hazifunguki nenda page nyingine ikigoma log out mbona maisha mepesi jamani?
Salama tu shemeji ndo kumekucha japo ka mvua kananyesha...Binadamu huwezi kutufurahisha bana. Siku inaendeleaje?
Abeeee shemejiShemejiiiii !!!
Huku pia kuna kamvua kananyesha. Jumamosi ya amani kabisa !!!Salama tu shemeji ndo kumekucha japo ka mvua kananyesha...
Sijui huko uliko?
Tumshukuru Mungu[emoji120][emoji120][emoji120]Huku pia kuna kamvua kananyesha. Jumamosi ya amani kabisa !!!
Cc. KaYego...Abeeee shemeji
[emoji23][emoji23][emoji23]shem mkorofi weweCc. KaYego...
Nataka kaje kaone wengine tunavyoitikiwa huku [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asante shem. It's always a pleasure to hear your voice....
Tunakupenda pia nawe ubarikiwe[emoji120][emoji120][emoji120]Tutaonana baadaye ndugu zangu. Mungu Aendelee kutubariki sote. Nawapenda sana !!! [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Kama unahitaji vitabu, info etc kuhusu huu mtihani sema Mrs. Alfonso.TOEFL
Hakuna aliyekatazwa kupost picha, fuatilia mtililiko wa hii hoja.Kama kuna anayekimbia uzi ni kwashida na mambo yake binafsi acheni kuharibu starehe za watu,kwani zile picha za misambwanda zimewachosha?au mnazungumzia za ipielo tu?
Kweli nahitaji kuhusu kupata info na vitabu pia.....ndio nilikuwa hapa naperuzi kwenye internetKama unahitaji vitabu, info etc kuhusu huu mtihani sema Mrs. Alfonso.
Ndivyo mnavyoitana hivyo siku hz.Nambie Cole
Hv hako ka mtu kapo kweli? Ka andaeitini.[emoji23][emoji23][emoji23]shem mkorofi wewe
Kakija tu nakachapa na shkamoo,kakiita tu nakaitikia na woyoo,lazima aombe poo...
Nashukuru shemeji[emoji120][emoji120]
Bibi harusi, tupe mrejesho wa sherehe.Abeeee shemeji